JUMUIYA YA VIJANA JV CUF JIMBO LA WINGWI WA KITEMBELEA MATAWI YA JIMBO HILO KATIKA SHEHIA YA MJINI WINGWI WILAYA YA MICHEWENI. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, February 02, 2018

JUMUIYA YA VIJANA JV CUF JIMBO LA WINGWI WA KITEMBELEA MATAWI YA JIMBO HILO KATIKA SHEHIA YA MJINI WINGWI WILAYA YA MICHEWENI.

 
 Jumuiya  yavijana jimbo la wingwi ikifanya ziara katika  matawi ya  shehia ya Mjini wingwi.
Nakuwataka Vijana kujisajili katika Dafutari lavijana katika jimbo la wingwi .

Akizungumza na Vijana wa Shehia hiyo Katibu wa vijana Jimbo La Wingwi Mh Rashid Juma Ali
Ali wataka vijana kuhudhuria Katika vikao  vyamipango  naajenda ili wapate uwelewa mzuri.

Aidha  amesema jumuia Imeandaa michezo Mbali mbali Ikiwemo michezo ya Mpira Uvutaji wa kamba nk.

Naye mwenyekiti  Wa vijana Wilaya la Micheweni  Mh. Abdalla Ali Said Amewataka vijana Wa  Jimbo La wingwi Kutokuwa nyumakujiorozesha  Katika Daftari hilo Kwani ikitokea tija la vijana wataangaliwa Katika Daftari hilo

Ameyataja majimbo yalio Fanya vizuri Ni Majimbo YA Tumbe na Knde.
 Mh Rshid  Juma  Ali Akionesha Dftari La Jumuiya Ya Vijana  wa CUF  Kwa vijana wa SHEHIA Ya MJINI WINGWI.

 Mh. Abdalla  Ali  Said  Kushoto Akitoa nasaha Kwa vijana Wa CUF Jumuiya  Wilaya Ya Micheweni.
 Vjana  wakisikiliza  nasaha za VIONGOZI WA JUMUIYA YA VIJANA WINGWI.


 MH. SUBEIT KHAMIS FAKI AKIZUNGUNZA NA VIJANA MJINI  WINGWI
 MH ISSA SHEHE AKITOA MAELEKEZO KWA VIONGOZI WA JUMUIYA.


HABARI KUU

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI