SANCHEZ, MANU KAZINI FA CUP LEO - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, January 26, 2018

SANCHEZ, MANU KAZINI FA CUP LEO

HABARI KUU

Image result for FA Cup iMichuano ya FA Cup inaendele tena hii leo ijumaa kwa michezo miwili, Shifeld Wednesday wanawakaribisha Reading huku Manchester United wakiwa ni wageni wa Yovil katika dimba la Huish Park na Manchester kwa mara ya kwanza watamtumia mchezaji wao mpya waliye msajili kutoka kwa wapinzani wao Arsenal Alexis Sanchez.
Mara nyingi Manchester United inapokutana na Yovil imekuwa na matokeo mazuri zaidi, na kesho jumamosi Liverpool watakuwa wakicheza dhidi ya West Bromwich.
Wakati huo huo Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ameongeza kandarasi ya kuendelea kukinoa kikosi hicho hadi mwaka 2020 , Mkataba wa kocha huyo ulitarajiwa kufikia mwisho mwaka 2019.
Mourinho amesema kuendelea kuwepo United kwa muda mwingine alioongezewa amesema yeye ni meneja sahihi kwa klabu kubwa kwa ajili ya malengo mengine na anamshukuru Mmiliki wa klabu hiyo Ed Woodward

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI