NURU YA HABARI TZ

NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


nuru+ya+habar

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Fashion

Followers pg

SHEREHE



HABARI KUU

Sports

Post Top Ad

Recent Posts

View More

Saturday, December 08, 2018

Lukaku kuitosa rasmi Man United? Mourinho ‘anakula bata’

6 years ago

Mchezaji wa Manchester United, Romelu Lukaku huenda akakitosa kikosi cha Wekundu hao wa Old Trafford kutokana na kuvurugwa kiakili na Jose Mourinho, tangu Oktoba mwaka huu. Tetesi za mshambuliaji huyo kutoka nchini Ubelgiji kuachana na timu hiyo ...

Read More

Lowassa atoboa anavyoisubiri 2020, kuhusu kumsifu JPM

HABARI Wanawake wachimbaji kushikwa mkono na Serikali

6 years ago

  on Wanawake wachimbaji kushikwa mkono na Serikali Waziri wa Madini, Angellah Kairuki amesema kuwa serikali itaendelea kuwajengea mazingira wezeshi wachimbaji wadogo, kutenga maeneo zaidi kwaajili yao na kuwapa kipaumbele lengo likiwa kuwawez...

Read More

Mbaroni kwa kumhonga RC majani ya chai ya kichina

6 years ago

Mfanyabiashara wa madini ambaye ni raia wa China amejikuta akitiwa mbaroni na Takukuru kwa tuhuma za kumshawishi na kujaribu kutoa rushwa ya Sh nilioni moja na pakiti ya majani ya chai kwa Mkuu wa mkoa wa Geita, Robert Gabriel. Mfanyabishara h...

Read More

Friday, December 07, 2018

WANACHOTAKIWA KUFANYA SIMBA KABLA YA KUIVAA NKANA FC

6 years ago

HABARI KUU NA SALEH ALLY KUIDHARAU Mbabane Swallows kwamba si timu nzuri ndiyo maana Simba wameifunga kiulaini sana na kujiaminisha kwamba Tanzania hatuwezi kuwa na timu zinazoweza kufanya vizuri katika michuano ya Afrika, itakuwa ni kujida...

Read More
6 years ago

  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demographics na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa ameeleza sababu zinazomfanya abaki ndani ya chama hicho, tangu alipojiunga mwaka 2015. Lowassa ambaye ni Waziri Mkuu wa zamani amesema kuwa hana mpango wa ...

Read More

ZFA yatoa sababu za kubadili ratiba za ligi kuu ya Zanzibar

6 years ago

HABARI KUU Chama cha mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA) kupitia  kamati yake ya mashindano ya ZFA imetoa sababu ya kubadilisha ratiba ya mashindano mbali mbali ikiwemo yanayosimamiwa na ZFA Taifa. Akizugumza na vyombo vya habari mwenyekiti wa kamati...

Read More

Serikali yaagiza mafundi simu kujisajili TCRA

6 years ago

HABARI KUU Naibu Katibu Mkuu Wizara Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk Yonaz imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) kusajili mafundi wanaotoa huduma za matengenezo ya simu za mkononi kwa mujibu wa sheria zilizopo na kuhakikisha ...

Read More

SERIKALI YAZISHAURI BENKI NCHINI KUSHUSHA RIBA ZA MIKOPO KUCHOCHEA UCHUMI WA VIWANDA

6 years ago

HABARI KUU Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Azania, Sokoine, Jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akikata ut...

Read More

Thursday, December 06, 2018

George HW Bush: Mbwa wa rais wa zamani Sully agusa wengi kwa heshima zake za mwisho

6 years ago

Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionSully akiwa katika chumba ulimokuwa mwili wa marehemu George HW Bush katika makao makuu ya Bunge la Marekani Mbwa aliyekuwa amepewa kazi ya kuwa msaidizi wa rais wa zamani wa Marekani George HW Bush amep...

Read More
Page 1 of 9112345...91Next �Last

Post Bottom Ad

HABARI

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *