Timu ya Simba ya Tanzania imeondoka nchini humo kupiga kambi Afrika Kusini tayari kwa mechi yake ya marudiano na Mbabane Swallows ya Eswatini itakayopigwa hii leo jijini Mbabane Eswatini. Mchezo wa awali Simba iliibuka na ushindi wa magoli 4-1 chezo uliopigwa jijini Dar es salaam Tanzania.Nayo Mtibwa Sugar ya Tanzania imeondoka jana nchini Tanzania kuifuata Northern Dynamo ya Shelisheli katika harakati za kuwania kufuzu hatua ya awali ya mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika, mchezo wa awali wakata miwa wa Mtibwa waliitungua Shelisheli kwa jumla ya mabao 4-0.
Post Top Ad
Tuesday, December 04, 2018

Home
MICHEZO
Michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kombe la Shirikisho barani Afrika: Mechi za marudiano kupigwa wiki hii
Michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kombe la Shirikisho barani Afrika: Mechi za marudiano kupigwa wiki hii
Tags
# MICHEZO
Share This
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
MICHEZO
Lebo:
MICHEZO