MATOLA WA LIPULI ATUMA MESEJI KWA SIMBA - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, December 06, 2018

MATOLA WA LIPULI ATUMA MESEJI KWA SIMBA

HABARI KUU


Kocha wa timu ya Lipuli, Seleman Matola amewatumia salamu za pongezi wachezaji wa Simba na kuwataka wasibweteke na matokeo waliyopata kwa kuwa wana kazi nzito kuhakikisha wanapenya hatua zote.

Matola ambaye aliwahi kuwa nahodha wa Simba, amesema kuwa wakati wa Simba kuweza kupenya kimataifa ni sasa wanapaswa kujituma zaidi kusonga mbele kwa kuwa kazi ndo kwanza inaanza.


" kwa hapo walipofikia si hatiua mbaya wanapswa pongezi ila wasijisahau kuendelea kupambana wana safari ndefu kutafuta mafanikio, hapo walipofikia safari ndo inaanza kupeperusha bendera ya taifa," alisema.


Simba wamefanikiwa kupenya hatua ya awali kwa ushindi wa nje ndani mbele ya Mbabane Swallows ya Eswatini kwa ushindi wa mabao 8-1, mchezo wao unaofuata hatua ya kwanza ni dhidi ya Nkana FC.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI