Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Awapongeza Wabunge Walio Kulia Kiapo Bungeni. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, November 07, 2018

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Awapongeza Wabunge Walio Kulia Kiapo Bungeni.

HABARI KUU
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Jimbo la Ukonga,CCM  Mhe.Mwita Waitara baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchauka baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, Viajana na Ajira Anthony Mavunde. wakati wa picha ya pamoja katika Viwanja vya Bunge na  Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa  Dodoma . leo Novemba 6/2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI