DKT. MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MARA MOJA MCHANA WA LEO. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, November 22, 2018

DKT. MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MARA MOJA MCHANA WA LEO.

Rais Dkt. john Pombe magufuli katika kuendeleza uteuzi wake amemteuwa Dkt. Lutengano makahesia (Aliekua Mkurugenzi mkuu wa zamani (REA)
Kuwa Mwenyekiti wa body ya ushauri na wakala wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja PETROLEUM BULK PROREMENT ANGENCY (PBPA)

Uteuzi huu umenza mara moja mchana wa leo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI