MKUTANO MKUU YANGA UNAFANYIKA SIKU HII NA WATAKAORUHUSIWA KUINGIA NI WAFUATAO... - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, March 29, 2018

MKUTANO MKUU YANGA UNAFANYIKA SIKU HII NA WATAKAORUHUSIWA KUINGIA NI WAFUATAO...

HABARI KUU





Uongozi wa Yanga, rasmi umetangaza mkutano mkuu wa klabu hiyo utafinyika Mei 5, mwaka huu.

Umesema mkutano huo utafanyika jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa awataka wanachana kuanza maandalizi.

Mkwasa amesema watakaoruhusiwa kuingia kwenye mkutano huo ni wale wenye kadi za aina zote mbili na lazima wawe wamelipia ada zao.

“Kikubwa wanachama waande maandalizi ya mkutano sasa ikiwa ni pamoja na kulipa ada zao kwa wale wanaodaiwa,” alisema.

Mkwasa amesema kufanya maandalizi mapema ni jambo zuri zaidi badala ya kusubiri mambo yakae vizuri baadaye.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI