OKWI AMETUPIA, SIMBA INAONGOZA BAO 1-0 DHIDI YA GENDAMARIE - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, February 20, 2018

OKWI AMETUPIA, SIMBA INAONGOZA BAO 1-0 DHIDI YA GENDAMARIE

HABARI KUU



Emmanuel Okwi ameipatia Simba bao la mapema kabisa katika kipindi cha pili, dakika ya 55.


Okwi amefunga bao hilo na kuifanya Simba kuwa mbele kwa bao 1-0. Mechi hiyo ni ya Kombe la Shirikisho.


HALF TIMA:
Mechi kati ya Gendamarie dhidi ya Simba sasa ni mapumziko.

Mechi hiyo imekuwa na ushindani mkubwa na Simba wamepoteza nafasi za tatu za kufunga za wazi huku wenyeji Gendamarie wakipoteza moja.


Simba wameonekana kushambulia lakini Gendamarie wako makini nao wamekuwa wakijibu mashambulizi tofauti na mechi ya kwanza ambayo walifungwa kwa mabao 4-0 mjini Dar es Salaam.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI