Mzee wa miaka 73 afariki dunia baada ya kunasa kwenye umeme Unguja - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, February 02, 2018

Mzee wa miaka 73 afariki dunia baada ya kunasa kwenye umeme Unguja

HABARI KUU
 

Mzee wa miaka 73 afariki dunia baada ya kunasa kwenye umeme Unguja


Mama mmoja mwenye umri wa miaka73 amefafiki dunia baada ya kunasa katika waya wa umeme huko Tumbatu Mtakuja Wilaya ya Kaskazini A.

Taarifa zilizopatikana kutoka kwa watu wakaribu na eneo la tukio ikithibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja Hasina Ramadhan Tawfik amemtaja marehemu huyo kuwa ni Tatu Makame Hajji  ambapo majira ya saa nne dakika thelathini asubuhi marehemu kabla hajapatwa na ajali hiyo alikua akienda kazini ambapo alikuwa njiani kuelekea huko ndipo aliponasa katika waya wa umeme ambayo nguzo yake imekatika.

Kufuatia kutokea kwa tukio hilo Kamanda Hasina Ametowa wito kwa jamii kuwa makini wakati wanapokuwa katika shuhuli zao ili kujiepusha na majanga kama hayo.
Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi Hospitali na kukabidhiwa jamaa zake kwa mazishi.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI