EXCLUSIVE: MANULA SASA UHAKIKA KUCHEZA MECHI YA LEO DJIBOUTI - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, February 20, 2018

EXCLUSIVE: MANULA SASA UHAKIKA KUCHEZA MECHI YA LEO DJIBOUTI

HABARI KUU


Simba sasa ina uhakika itamtumia Aishi Manula leo katika mechi dhidi ya Gendamarie ya Djibouti.


Hali yake inaonekana kuwa nzuri baada ya kuumia jana kutokana na kuteguka kidole.

Lakini mmoja wa viongozi wa Simba, ameihakikishia SALEHJEMBE kwamba leo Manula ataanza.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI