
’Mfuko wa hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF) unawatangazia wananchi kuwa kipindi hiki cha maonesho ya Tamasha la Utalii “Zanzibar Tourism Show 2018“, unatoa huduma zake zote kwa yeyote atakae tembelea banda lao lililopo katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni wilaya ya Magharib A Unguja.









