MAAFISA
mbali mbali wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kusini Pemba,
wakifuatilia hutuba ya waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar,
Mhe:Balozi Amina Salim Ali, wakati alipokuwa akizungumza na masheha juu ya
kumalizika kwa Msimu wa karafuu.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
AFISA
Mdhamini Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Pemba, Abdalla Juma akitoa maeleo
juu ya mkutano uliowashirikisha kamati ya Ulinzi na Usalama na Masheha wa Mkoa
wa kusini Pemba, huko katika ukumbi wa makonyo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
BAADHI
ya Masheha wa Mkoa Wa Kusini Pemba, wakiwa katika kikao cha pamoja na wajumbe
wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa huo, kilichoandaliwa na Waziri wa Wizara ya
Biashara Zanzibar, huko katika ukumbi wa Mkoanyo Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
MKUU
wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza katika kikao
cha pamoja kilichowakutanisha wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama na masheha
wa mkoa huo, juu ya suala zima la ufungaji wa msimu wa zao la karafuu, mwaka
2017./2018 huko katika ukumbi wa makonyo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
WAJUMBE
wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa wa kusini Pemba na masheha wa mkoa huo,
wakiwa katika kikao cha pamoja juu ya ufungaji wa msimu wa karafuu 2017/2018,
huko katika ukumbi wa makonyo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)