Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Bakari Ali Silima akifungua Semina ya kuwasilisha utafiti na mahitajio ya soko la ajira kwa ajili ya kutayarisha mitaala ya kufundisha katika vyuo vya Amali Zanzibar huko katika Ukumbi wa Mamlaka ya Amali Kilimani Mjini Zanzibar.
Muwezeshaji wa zoezi la mitaala, Rehema Binamuungu kutoka Tanzania Bara akiwasilisha mada ya Utafiti na mahitajio ya soko la Ajira kwa ajili ya kutayarisha mitaala ya kufundisha katika vyuo vya Amali Zanzibar huko katika Ukumbi wa Mamlaka ya Amali Kilimani Mjini Zanzibar.
Mtafiti wa Soko la Ajira kutoka Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Tanzania Bara (VETA) Julius Paul Mjelwa akizungumza katika Semina ya kuwasilisha Utafiti na Mahitajio ya Soko la Ajira kwa ajili ya kutayarisha Mitaala ya Kufundisha katika vyuo vya Amali Zanzibar huko katika Ukumbi wa Mamlaka ya Amali Kilimani Mjini Zanzibar.
Wakufunzi wakiwa katika Semina ya kuwasilisha utafiti na mahitajio ya Soko la Ajira kwa ajili kutayarisha Mitaala ya kufundisha katika Vyuo vya Amali Zanzibar huko katika Ukumbi wa Mamlaka ya Amali Kilimani Mjini Zanzibar.