Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kati kati aliyevaa miwani
aliyaongoza Matembezi ya Wanavikundi vya Mazoezi katika Bonanza Maalum
la kupinga vitendo vya udhalilishaji Nchini yaliyoanza Komba wapya na
Kumalizia Uwanja wa Amaan.
Wanavikundi
vya Mazoezi wakifanya vitu vyao wakati wakiingia Uwanja wa Amaan
kuhitimisha Matembezi yao yaliyoanzia Viwanja vya Komba Wapya Muembe
Ladu.
Wanavikundi
vya Mazoezi wakifanya vitu vyao wakati wakiingia Uwanja wa Amaan
kuhitimisha Matembezi yao yaliyoanzia Viwanja vya Komba Wapya Muembe
Ladu.
Vikundi
vya Mazoezi wakifanya mazoezi ya Beat na kunyoosha miili baada ya
kukamilisha Matembezi yao ya kupinga vitendo vya udhaliliushaji Nchini
Baadhi
ya mabango yenye ujumbe Maalum unaoelimisha Jamii yaliyotumika katika
matembezi ya Wanavikundi vya Mazoezi katika Bonanza Maalum la kupinga
vitendo vya udhalilishaji Nchini.
Baadhi
ya mabango yenye ujumbe Maalum unaoelimisha Jamii yaliyotumika katika
matembezi ya Wanavikundi vya Mazoezi katika Bonanza Maalum la kupinga
vitendo vya udhalilishaji Nchini.
Wanakikundi
cha Mazoezi Wanawake wa timu ya pamoja ya Kikundi cha Mazoezi ya New
Life Exercise Club na Kiembe Samaki Fitness Club wakivuta kamba na kushindwa kwenye pambano lao dhidi ya Bandari wanawake.

Binti
Mdogo wa Miaka 10 kutoka Vikundi vya Mazoezi vya New Life Exercise Club
na Kiembe Samaki Fitness Club, Ahlan Saleh akionyesha umahiri wake wa
kuusarifu mwili wakati wa mazoezi ya Mchezo wa Yoga kwenye Bonaza la
Michezo lililofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akitoa vyeti Maalum kwa Vikundi
na Taasisi zilizosaidia kufanikisha Matembezi ya Bonanza la Michezo
hapo Uwanja wa Amaan.
Wa kwanza kutoka Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud.