Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupunguza
tatizo la ajali za barabarani.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam
Katibu wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mkuu wa
Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Musilimu (kulia meza kuu), akizungumza wakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupunguza
tatizo la ajali za barabarani.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam
Mjumbe kutoka Mamlaka ya Udhibiti
Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Geoffrey Silanda, akichangia hoja wakati wa wakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupunguza
tatizo la ajali za barabarani.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara,
jijini Dar es Salaam.Wengine ni
Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu, Hidaya Mohamed na Mwakilishi kutoka Chama
cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania(TABOA), Elimboto Mtatulu (kushoto).
Wajumbe wa kikao
kinachojadili mikakati ya kupunguza
tatizo la ajali za barabarani kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa
la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), wakishiriki kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa
wizara, jijini Dar es Salaam.