RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume Zanzibar akitokea Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu
UAE, akivishwa shada la maua na Mtoto aliyeandaliwa.
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Mbwa aliyekuwa amepewa kazi ya kuwa msaidizi wa rais wa zamani wa Marekani George HW Bush amepigwa picha akionekana kuomboleza karibu na jeneza la kiongozi huyo.
Bw Bush, aliyehudumu kama rais wa 41 wa Marekani kati ya mwaka 1989 na 1993 alifariki dunia Ijumaa usiku akiwa na miaka 94.
Sully, mbwa wa jamii ya golden labrador, alisafiri pamoja na mwili wa marehemu kwenye ndege kutoka Texas kwenda Washington DC siku ya Jumatatu.
Jeneza lenye mwili wake lilisafirishwa kwa ndege kutoka Texas kwenda DC kwa ndege ya Air Force One - ambayo kwa muda ilipewa jina Special Air Mission 41, kwa heshima ya rais huyo.
Mwili huo ulirejeshwa Texas Jumatano.
Mbwa huyo wa jina Sully alisindikiza jeneza hilo muda wote.
Picha ya kwanza kabisa ya Sully akitoa heshima zake ilipakiwa mtandaoni na msemaji wa Bw Bush Jim McGrath, pamoja na ujumbe: "Mission complete."
Watu katika mitandao ya kijamii wamekuwa wakimshukuru Sully kwa huduma zake, na kwa kawaida kuzungumzia uaminifu wa mbwa kwa wamiliki wao.
KARIBU WA FIKIE WATEJA WAKO KWA KUTANGAZA NASI. HAPA 0777 178 520 ,0623 964 800, 0676 612 602 KAR. Powered by Blogger.
MASHABIKI RUKSA AZAM FC v PYRAMIDS FC KESHO
-
KUELEKEA mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa
Uwanja wa AzM Complex kati ya Azam FC v Pyramids ya Misri mashabiki ruksa
kuutazam...
HABARI KUU Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya...
Comments
QUEEN DARLEEN' AMEKUJA NA MEPYA KUHUSU WASAFI FESTIVAL
Msanii wa muziki Tanzania kutokea lebo ya WCB Queen Darleen amefunguka kwa kudai kwamba mtu ambae anauchukia ujio wa Wasafi festival ni mnyonyaji kwani anataka aendelee kutawala yeye kwenye biashara hiyoo.
kwa habari na matokio ni othu tv
HABARI KUU
sherehe
othu tv tunawakilisha
facebook
www.facebook.com
Step 3: Place this code wherever you want the plugin to appear on your page.