Waziri
wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza na Naibu Waziri wa
Kilimo wa China, Mhe. Dkt. QU DONGYU walipokutana katika Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Jijijni Dar es Salaam tarehe
26 Januari, 2018 kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikino katika
sekta ya kilimo na uvuvi kati ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na
China. Mhe. Dkt. QU DONGYU yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
Mazungumzo kati ya Mhe. Hamad Rashid na Mhe. Dkt. QU DONGYU yakiendelea huku wajumbe wa China na Tanzania wakifuatilia.
Mhe. Hamad Rashid na Dkt. QU kwa pamoja wakipitia baadhi ya nyaraka za ushirikiano
Picha
ya pamoja kati ya Mhe. Hamad Rashid na Dkt. QU DONGYU pamoja na wajumbe
wengine walioshiriki kikao hicho. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini
China, Mhe. Mbelwa Kairuki
Mhe. Hamad Rashid akiagana na Dkt. QU DONGYU mara baada ya kumaliza mazungumzo