
Michuano ya kombe la dunia inatarajiwa kuendelea tena leo Julai 6,2018 kwa hatua ya robo fainali huko nchini Urusi baada ya kupita mapumziko ya siku mbili mfululizo.
Hii hapa ratiba kamili:
Ijumaa, Julai 06 -LEO
1. Uruguay
Ufaransa (11:00 jioni)
2. Brazil
Ubelgiji (3:00Usiku)
Jumamosi Julai 07 -KESHO
3.
Sweden
England (11:00)
4. Urusi
Croatia (3:00 Usiku)