Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven
Mwaisabila (kushoto), akikwagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili
yake wakati wa hafla ya kumuaga akistaafu utumishi wa jeshi hilo, Hafla hiyo
imefanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven
Mwaisabila , akipunga mkono wa kwaheri
wakati wa hafla ya kumuaga akistaafu utumishi wa jeshi hilo. Hafla hiyo
imefanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam
Gwaride la heshima likipita mbele ya Kamishna Msaidizi wa Jeshi la
Magereza, Steven Mwaisabila, wakati wa hafla ya kumuaga kamishna msaidizi huyo
iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven
Mwaisabila (kulia),akipongezwa na maafisa wa jeshi hilo baada ya kustaafu
utumishi wa jeshi hilo katika hafla iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo
cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila,
akipongezwa na mkewe Yunisi Mwaisabila (kulia), baada ya kustaafu utumishi wa
jeshi hilo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo
Cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kushoto) akipongezwa na
mjukuu wake baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo wakati wa hafla ya kumuaga
iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo Cha Magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi