HABARI KUU

Mkuu
wa Wilaya ya Wete Pemba Abeid Juma Ali akikagua banda la vijana wa
kikundi cha Kujikomboa Group kiliopo shehia ya Gando Ziwengi Wilaya ya
Wete lililoteketezwa kwa moto na watu wasiyojuilikana usiku wakuamkia
jana januari 26.

Mkuu
wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali akizungumza na vijana wa kikundi cha
Kujikomboa Group cha shehia ya Gando Ziwengi alipofika kuwafariji.

Pichani ni eneo la shamba la matunda na alizeti linaloshughulikiwa na kikundi cha Kujikomboa Group cha Gando Ziwengi.