
Kabla ya kujiunga na Yanga, kiungo wa Zanzibar Heroes Feisal Salum alikuwa ni mchezaji muhimu wa timu ya JKU ya Zanzibar, na hapa Dodi alimtembelea kijiweni kwake na kupiga story kibao akiwa na marafiki zake.
KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA